HARUSI YA MDAU EDWIN BANYENZA NA BI ANETHH WILBROAD MUTATINA
Ni harusi ya mdau Edwin Banyenza na Bi Aneth Wilbroad Mutatina, iliyofanyika tarehe 28 july katika kanisa katoliki la mwenge dar es salaam na kufuatiwa na tafrija fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Stallion hall - kawe dar es salaam
Maharusi katika picha ya pamoja na wapambe wao
Katika pozi maharusi wakiingia ukumbini
Wapambe wa Bwana harusi katika picha ya pamoja na Bwana harusi Mdau Edwin Banyenza hivi ndivyo walivyo tokelezea!!!
Wapambe wa maharusi wakiwa katika picha pambo ya maharusi mara baada ya ibada ya ndoa yao
Maharusi wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa na kuwa mwili mmoja
BUKOBAWADAU BLOG TUNAWAPA PONGEZI MAHARUSI HAWA!!!