Bukobawadau

BUNGENI HII LEO; Mbunge Concesta Rwamlaza Chadema viti Maalum (Bukoba) aiomba Wizara ya Miundo Mbinu kutoa tamko juu ya utekelezaji wa ahadi ya Meli kutoka kwa Rais , pia ahoji uwepo wa MELI moja tu Kizazi hadi kizazi ya Mv.Victoria kimsingi anauliza kweli miaka 50 aijawahi kupata faida ikapatikana meli nyingine?!.Bi Concesta amedai kwamba wananchi wake wakazi wa maeneo ya Matopeni na Kashai walipwe Fidia kwa kile anacho dai kuwa Nyumba zao zilipata Nyufa kubwa kutokana na Miripuko ya Baruti zilizotumika kwenye Ujenzi wa Uwanja wa Ndege unao endelea hivi sasa na Mwisho ataka kujua habari ya uwanja wa ndege wa 'KAJUNGUTI'

Next Post Previous Post
Bukobawadau