Bukobawadau

DAADA YA MBUNGE MBUNGE SAID MTANDA KUSHINDA UBUNGE WA AFRIKA, MH KIGWANGALAH ASEMA KAMWE AGOMBEI TENA!!!!!


Muda mchache uliopita Mbunge Said Mtanda, ameshinda kuwa mbunge wa AU kutokea bunge letu katika uchaguzi uliofanyika bungeni leo, ambapo aligombea na Mbunge Dr. Kingwangwalah, pichani, chini ni mahojiano na Dr, dakika chache baada tu ya uchaguzi ulioisha muda sio mrefu uliopita, huko Mjengoni Dodoma.
  Mahojiano na  Mh. Kingwangalah  
Siwezi jaribu tena! I will never try the impossible! This time I was checking out and have received the response! Sipendwi na wenzangu...I thought wamenisamehe kwa kosa la kusema ukweli na kuwa na misimamo mikali kwenye issues...

Baada ya kutakiwa ktokata tamaa na wana mabadiliko..
mbunge.nzega
kukata tamaa is not in my vocabulary...mapambano ndiyo kwanza yanaanza!

mbunge.nzega
 
Frank, wanapenda mtu wa ndiyo na mimi bahati mbaya sana siko hivyo, so siwezi kushinda uchaguzi ndani ya Bunge hata siku moja maana si-conform to the 'yes norm'

mbunge.nzega
 
Dully, huo ni mtazamo wako wewe mwenyewe. Haukatazwi.

Ila nimepigwa kampeni chafu sana na watu wakubwa kabisa na nilijua wazi kuwa my chances were slim...na kampeni zenyewe zililenga kunichafua kuhusiana na msimamo wangu kuhusu haki na maslahi ya madaktari na sekta ya afya kwa ujumla. na pia kwenye sekta ya madini na harakati zangu za kudai haki za wananzega...nimesulubiwa kwa haya. namshukuru Mungu nimejifunza...japokuwa kwa machungu, na sasa sintotetereka tena, naijua nafasi yangu ndani ya CCM na miongoni mwa wabunge wenzangu


Nasikitika kwamba CCM imekosa watu makini wa kuelewa umuhimu na faida ya kuwa na vijana makini kama mimi na uwezo wetu wa kujenga hoja na kuweka misimamo yenye kuleta mafanikio kama ilivyojionesha, nadhani tunakoelekea si kuzuri sana ...

My Take; Mkuu Kigwangallah jipe moyo next time hapana shaka magamba wenzio wataelewa umuhimu wa kuwa na kijana msomi kama wewe katika Bunge kama hilo

BTW, nimepapenda sana hapa...
mbunge.nzega
Ahsante Kamanda! 
 
Chanzo le Mutuz Super Blog 
Next Post Previous Post
Bukobawadau