Bukobawadau

HOJA YA LEO;kuhusu SENSA shule za serikali zimefungwa kwa ajili ya sensa sawa kabisa..hizi shule binafsi (private) vipi? Nimejaribu kuwasiliana na wakuu wa shule binafsi nne hawafungi shule...je hili halitaathiri? Na kama ingewezekana kufanyika sensa wakiwa mashuleni hawa wa serikali wangebaki mashuleni kwao waendelee kusoma...tunaomba mwenye ufafanuzi atueleweshe?!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau