Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU PANDE ZA KITENDAGURO

 Camera yetu ivi punde imeangaza maeneo haya ya Kitendaguro
 Kagemu Chuoni  mambo yanaonekana kwenda vizuri japo  sisi si wasemaje wa wizara
 Moja kwa moja mpaka msibani kwa  'Ma Nastazia'dada  toka nitoke na Mzee  Samweli Luangisa(kushoto)
 Ikiwa ni siku moja kabla ya matanga, maombi ya jioni yanaendelea kila siku msibani hapa.
 Ndugu wa familia  wakiendelea kufarijiana
 Mtoto mkubwa wa Marehemu Anastazia







 Hii ni ishara ya mambo ya hasili msibani habari juu ya hili inafuata
ITAENDELEA
Next Post Previous Post
Bukobawadau