Bukobawadau

TIMU YA BUKOBA VETERAN YAENDELEA NA MAZOEZI YA NGUVU

 Salim bonge mchezaji wa Bukoba Veteran akipasha  kabla ya kupewa Sub.
 Wachezajiwakifuatilia  gonga za wachezaji wenzao
Naaam!!


 Mdau Matias akionyesha uwezo wake pia
 Kaka Mkuu uwezo mkubwa  wa kusaka  soka bado upo
 Wachezajikatika mazoezi ya pamoja
  Kasi akili na ubunifu anaonekana Mchezaji Abdul Bonge
Majukumu ni kukaba .
Next Post Previous Post
Bukobawadau