Bukobawadau

LIBENEKE LA MDAU MZALENDO BEN MULOKOZI

Camera yetu inakutana na Mdau  mzalendo  Ben Mulokoziakiwa kapumzika katika pozi  ndani ya hotel ya Victoriaus iliyopo mjini hapa.
Pasipo na shaka anashushia mbili tatu na anasema hajawahi kupata wasiwasi!!!
Uku akiperuzi na kitu cha Samsung Galaxy S G4 na hayo ndio maisha yake!!!
 Akifuatilia television anaonekana kufurahishwa na mahamuzi mazito ya Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Kagasheki.
Kitendo bila kuchelewa akaongea na simu.
Pembeni yupo Mdau Basibila  anaonekana kutabasamu baada yaa kuvutiwa na maongezi  yanayo endelea katika simu.!!!

MDAU BEN MULOKOZI YUPO MJINI HAPA KATIKA MAPUMZIKA IKIWA NI NYUMBANI NA KUSALIMIA NDUGU NA JAMAA!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau