Bukobawadau

JE UMEPATA KUWAJUA KARUME SHULE YA MSINGI?!!!

Camera ya bukobawadau ndani ya kata ya Nshambya maeneo ya Chabitembe nakutana na harakati za mdau mpambanaji wa kitambo 'slow but  sure' Super Self Mkude
Ni Karume shule ya msingi
Shule yenye sifa ya elimu bora na mazingira yanayoshawishgi pichani anaonekana Mkurugenzi wa Shule Mr Self Super Mkude
Navutiwa na vibao vya maelezo namna vilivyo tiwa makhsh!!
Katika mazingira usafi ni kipaumbele
Vipumbaule vya Karume ni Elimu bora na usafi wa mazingira kuanzia adarasani mpaka mabwenini
Hii ndio hali halisi  mdau
 Mkurugenzi wa Karume MDAU Super Self Mkude
Ingawa ni mida ya jioni nabahatika kukumbana na Mwl wa zamu madam Aneth Edward ametupa ushirikiano kwa kiasi kikubwa, nidhamu ya hali ya juu
Hapa No mtoto kurudi nyumbani akiwa mchafu , vubi mpaka kwenye masikio hapa karume hali hiyo ni arufuku
Giza likiingia na utamu wa kusoma unaongezeka
Super mwenyewe alivyo jiachia hakika anastahili pongezi!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau