Bukobawadau

Prezzo atakuwa akipokea bilioni 1.4 kwa mwaka

Gazeti la DAILY POST limeandika kuwa mshahara atakaokuwa anapokea Prezzo ni dola 720,000 kwa mwaka akiwa balozi wa One Campaign.

Fedha hizo ni sawa na shilingi bilioni 1,  milioni 137 na ushee za Tanzania!

Kwa mshahara huo Prezzo atakuwa akilipwa zaidi kuliko hata viongozi wakubwa   Kenya.

Mshahara wa rais Mwai Kibaki ni shilingi za Kenya milioni 3.2 sawa na milioni 57 za Tanzania na waziri mkuu Raila Odinga akipokea milioni 2.4 za Kenya huku Uhuru Kenyatta akipokea kama milioni 1.5 kwa mwezi.

Hii ndo payslip ya Prezzo:

Mshahara kwa mwezi :      $40,000                    (TSH 63,200,000)
Posho ya nyumba :           $5400                       (TSH 8,532,000)
Posho ya usafiri :             $6600                      (TSH 10,428,000)
Kuburudika:                     $5000                        (TSH 7,900,000)
Matibabu:                       $10,000                     (TSH 15.800,000)

Vingine:  Passport ya kidiplomasia na walinzi wawili.

Pamoja na hivyo bado kuna marupurupu mengine yanayoufanya mshahara wake kwa mwezi kufikia karibu 189,734,400!!!
Source:http://www.leotainment.blogspot.com/
Next Post Previous Post
Bukobawadau