Bukobawadau

MKURUGENZI WA LINAS NIGHT CLUB (KISIMA CHA BURUDANI)AREJEA BUKOBA BAADA YA MAPUMZIKO NCHINI UINGEREZA

Mkurugenzi Mtensa awasili Afrika kisha Tanzania hatimae Bukoba hii leo akitokea UK alikokuwa kwa mapumzika kidogo
Mapokezi uwanja wa ndege yupo mdau  mwanapamoja Gilbart G-Smart kulia
Rafiki kipenzi wa Mr Mtensa  Kaka Mkuu akiwa sambamba na Mgeni wake
Mwanapamoja Bi Salome aka Mama Chui, aka Chui na London akipokea Salamu kutoka UK kwa majirani zake na watu aliosoma nao huko miaka ya 95,96,97 toka kwa Mr. Mtensa
Hakika Kaka Umeiva umetakata
Kaka Sued Juma Sued Kagasheki akimlaki Mr Mtensa
Mwanapamoja A.Simba nae alikuwepo
Ni vicheko na furaha ile mbaya
Swala la zawadi kwa wapendwa, Mtensa hakupenda kupoteza muda, hakika vya ORGINAL ni vya uhakika taka usitake!!!
Zawadi kutoka kwa kaka Mtensa, anaonekana Mdau Soud Hashimu Karatasi

BUKOBAWADAU BLOG TUNAYO KILA SABABU KUMPONGEZA MDAU MTENSA KATIKA MAAMUZI YAKE HAYA, AMEWEZA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUPUMZIKA NCHI ZA MBALI KAMA UK PIA AMEWEZA KUWA SHUHUDA WA OLIMPIKI KWA GHARAMA ZAKE BINAFSI.WADAU HILI SIO SWALA LA UWEZO MKUBWA WA FEDHA NI SWALA LA NIA NA KUJIPANGA TU, MWISHO IKUMBUKE KUWA KUTEMBEA PIA NI ELIMU!!!!




Next Post Previous Post
Bukobawadau