Bukobawadau

SASA MZIGO MPYA WAWASILI NDANI YA EVODY BOUTIQUEDogo Ditto ni kijana wa mjini na mzigo huu wa nguo, kofia, viatu,migoba na mapigoya wadada anayajua anaelewa akutoe na mikato gani kwandana na umbo lako na  rangi yako.

Hapa unaweza kufanya yako kila kitu kikaeleweka ,

Swala la kukupendeza wewe na Mwenzio inategemea unanunua wapi hivyo vifaa
Fanya yako sehemu sahihi ni Evody Boutique
WAHI SASA ZIGO LA IDD LIMEINGIA TUNA IMANI UTATUTAFUTA UTUSHUKURU KWA USHAURI HUU TUNAOKUPA!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau