Bukobawadau

AFYA YA MDAU MZEE ERNEST RUGALABAMU BWAKAYULI(BABA EDAN) YAZIDI KUIMALIKA BAADA YA MATIBABU NCHINI INDIA


Baada ya kupata tarifa kuwa Mzee Rugalabamu karejea nchini baada ya kupata matibabu nchini India nilikata shauri kwenda kumuona ili kumjulia hali na hapa ni masikani alipo hivi sasa maeneo ya kunduchi bahari beach jijini dar es salaam
Kama ilivyo kawaida Camera yetu ikiangaza huku na kule navutiwa zaidi  na mazingira ya nyumba hii na mwonekano wa bustani.
Nikiwa  nimeongozana na Kijana Edgar Mishosho
Tunaomba samahani kwa mwonekano wa  picha hii ya Mzee Rugalabamu  hii ni kwa sababu flani flani japo kwa mbali unaweza kuona namna mguu wake wa kulia....ulivyo baada ya kukatwa vidole vyake vinne.
Nimepata fulsa ya kubadilishana mawazo na Mdau Elick Rugalabamu pichani kushoto ambae ni mtoto mkubwa wa Mzee Edan akijaribu kubabadua juu ya hili na lile kuhusiana na Ugonjwa wa Sukari unao msumbua baba yake kwa muda mrefu.


BUKOBAWADAU  BLOG TUNAMUOMBEA MZEE WETU  AFYA NJEMA NA APATE KUPONA ZAIDI!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau