HAPA NA PALE NA CAMERA YETU BAADA YA SALA YA IJUMAA !!
Camera yetu ikicheck na wadau kushoto ni Mdau Sudy Kambuga na kulia ni Mdau Dulla bukobawadau tunavutiwa na muonekano wao
Ustaadh Sadick Athmani akionyesha kuinua mikono kwa kumshkuru mola wake kwa kuiona ijumaa ya kwanza ya mwezi wa 9.
Mdau Dulla Kaminda anavyo onekana muda mchache baada ya kutoka msikitini katika ibada ya siku tukufu ya ijumaa