Bukobawadau

Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni


“Nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba nanaomba msamaha mashabiki wangu wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana na makosa,” alisema Aunty.
Source Bongo Frava.
Next Post Previous Post
Bukobawadau