Bukobawadau

HABARI MATUKIO YA SEND OFF PARTY YA MDAU MARIAM MAMU KABENDERA SHINANI

Mapema camera yetu ilianzia fukweni mwa ziwa victoria kuchukua picha mahalumu za watarajiwa hawa Bi Mariam Kabendera na Bw Victar
Picha mbalimbali zilizochukuliwa fukweni mapema kabla ya kuingia ukumbini
Kushoto ni Mdau Dada(mama shiva) Kabendera, dada yake na Bi Mariam
Wazazi wa B Mariam wanaingia kwa furaha uku wakicheza na kuimba nyimbo za asili
Hivi ndivyo mtarajiwa alivyo ingia ukumbini
Burudani zikiendelea wakati wageni wanaendelea kuingia ukumbini
Bi harusi  mtarajiwa  Bi Mariam Kabendera kushoto  aliweza kutimiza ndoto yake hivi majuzi katika shughuli yake ya send off iliyofanyika katika ukumbi wa Bukoba Club,pembeni anaonekana mpambe wake Bi Husna
Picha ya Bwana harusi mtarajiwa BwVictory Nkindi Nasri na mpambe wake Ndg Emmanuel.
Kitendo kinachoendelea ni Kama ishara ya upendo kabla ya kukata keki ya Send off.
Hapa mambo yanazidi kuwa mambo anaonekana Bi Mariam Kabendera akikata keki.
 Inakabidhiwa zawadi ya keki kwa Bwana harusi mtarajiwa.
Wanakunywa Champagne kwa furaha
 Meza ya wazazi upande Bi harusi
Sehemu ya wadau wapambe wa karibu wa pande zote mbili
Waalikwa wakifuatilia hili na lile ukumbini hakika mambo ni bam bam!!

 Burudani ya ngoma za asili ikiendelea kutoka kwaTuyisenge Culture Group
 Ikafika wakati wa wageni waalikwa kumpongeza Bi Mariam
 Wakati wa kupata msosiNext Post Previous Post
Bukobawadau