Bukobawadau

HILI NDILO HEKALU JIPYA LA MHE. DR. GERTRUDE P. RWAKATARE.LILILOPO MBEZI BEACH.


 Hapa kwa njee ukiwa unaanza kuingia ndani. 
 Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
 Akiwakaribisha wageni kuona uzuri wa nyumba yake.
 Mc Harris akiwa na Dr Rwakatare.
 Unaweza kupata chakuiga ndg Mdau
 Hapa ni sehemu ya ofisi yake iliyopo ndani ya nyumba yake.Nyumba hii inasehemu ya Mkutano,Salon,Studio,na sehemu ya mazoezi.
 Moja ya kochi la kifahari lililopo sebuleni.
 Chumbani sehemu ya kujipamba.
 Sehemu ya kabyamo!!No comment.
 Madiko diko, ngama, msosi
 Wasaha wa burudani,kitu mduara.
Mchungaji Kiongozi akiongoza mduara wa burudani. 
 Mchungaji Kiongozi wa Mikocheni b,Dr Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa akifanya uzinduzi wa Nyumba yake mpya iliyoko Mbezi beach pembezoni mwa Bahari ya hindi.Uzinduzi huu ulikuwa wakadi maalumu kwa baadhi ya washirika wake na marafiki wa karibu na familia hii.Sherehe ya uzinduzi huu ilipambwa na Mc na Mtangazaji wa Clouds Fm Harris Kapiga.
Next Post Previous Post
Bukobawadau