Bukobawadau

SHAMRA SHAMRA ZA UZINDUZI WA KAMBI YA REDD'S MISS KINONDONI 2012 JIJINI DAR


-->
Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akiwatambulisha Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye (kati) pamoja na Sebo ambaye ni mmoja kati ya mwanabodi wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakati wa Uzinduzi wa kambi ambayo ipo hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akizindua kambi ya Redd's Miss Kinondoni 2012 pembeni ni Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa na nyuma ni warembo walio katika kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni 2012.
Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa akiongea machache.
Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo.
Washiriki wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja.
Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene.
...Aha ilikuwa ni raha sana.
Mauno nayo yalikuwepo. MDAU MSOMAJI TUNAKUOMBA SANA UTUPE USHIRIKIANO KWA KUTUSUPORT JAPO KWA KUWA FOLLOWERS, JIUNGE NASI KUPITIA SEHEMU HUSIKA KWA KUTUMIA EMAIL YAKO NA TUFANYE KUAMASISHANA ILI TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau