Bukobawadau

LIBENEKE LA WADAU NDANI YA CHICHI HOTEL MALI YA MDAU CHRISTOPHER CHICHI NYAMWIHULA

Mr Appetizer Ben Mulokozi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Chichi Hotel Ndg Christopher Chichi Nyamwihula.

 Abdulrazak Majid alifika na Mdau Viana.
 Wadau wakiendeleza shangwe kwa pamoja na mwana libeneke la bukobawadau blog
 Kijana Edger, Avit  kwa pamoja.
 GYM linahusika ndani ya vyumba vya chichi hotel na unaweza kujionea kiti cha kufanyia massage
 Kwa nje unaweza kutulia vyema na kubadilishana mawazo na wenzako

 Mdau Hamry Katanyebile uso kwa uso na Mc Baraka
 Matendo, Ishala pasipo zogo vinaendelea hapa Chichi Hotel
 Anaitwa Hussein Kinyozi
Anajulikana kama Obyjr Byeyombo Obyemarila ni Mdau Hassan kushoto alifika kuniona mchana wa jana.

Hapa ni Chichi Hotel iliopo KINONDONI B ni Mali ya Mdau Mwenzetu  Chirstopher Chichi Nyamwihula  ni kaka mkubwa wa mdau Steven Wonder.

 Mwonekano wa Nje Chichi HOTEL

Sehemu za nyuma pia kuna ukumbi wa harusi na sherehe mbalimbali
Pamoja na mambo yote uaminifu, huduma bora ya Chakula ,parkingi pia Usafi ni chachu ya mafanikio katika hotel hii
Muonekano wa ndani hakika jamaa kajipanga vyema na anastahili pongezi zenu wadau
 Tembelea www.bukobawadau.blogspot.com kinyumbani zaidi kwa habari matukio ya kila siku


 Freeman Kashaija , Byabusha Razack na Sawia Sadru
 Wadau wakishow love juu ya uwepo wa Mc Baraka
 Papo kwa papo kila tukio linakufukia wewe mdau msomaji


Ni habari matukio kupitia bukobawadau.

Next Post Previous Post
Bukobawadau