Bukobawadau

HII LEO BUKOBAWADAU KATIKA KUTEKELEZA ILANI YA MAHUSIANO NA WADAU


 Kutoka  Quality Praza alifika mdau  Eric Bayona akiwa katika mitkasi ya kikazi zaidi
 Ni mdau Rama Whateson kulia alifika kuniona hii leo
 Mdau Rama akapata picha moja na Mc Baraka
 Yote juu ya yote ni ujio wa Mwanajamvi mwenzangu kutoka  Kajunason blogspot hakufanya kosa kusikia tu uwepo wangu mjini ni Mdau Cathbert (KUSHOTO.)
 Kama kuna blog zinazofanya vyema sana katika tasnia hii ya habari basi mojawapo ni Kajunason blogspot,pichani nipo na mmiliki wa blog hiyo ndg Cathbert Kajuna.
 Mdau Michael kama kawaida ametoa ushirikiano mkubwa sana ,pichani anaonekana akisalimiana na Adv Ishengoma hii yote ni kuwega wigo na kutekeleza ilani ya mahusiano.
Kaka Denis akiwa na Mwanahabari Cathbert kajuna.
 Mdau Mangi Said kushoto, kijana Fuady Rugusha na Bwana Cathbert
 Katika hili na lile nikapokea lawama juu ya kutokufanya habari ya Mwenge Wilayani Misenyi na ni kwa sababu kujipanga ni kidogo.
 Adv  Protas Ishengoma wa IMM advocate na Mdau Damas Makatu (ibwera moja kwa kuzaliwa)

 Mangi saidi katika hili na lile na mdau fuady
Maongezi yakionekana kukolea kushoto ni mdau Abdulrazak Byabusha.....
Ndg Mdau pitia older post kupata habari za nyuma na unaombwa kujiunga nasi kwenye facebook page yetu kwa ku like tu ubavuni mwa blog sehemu husika.
Next Post Previous Post
Bukobawadau