Bukobawadau

WADAU WANUSURIKA KIFO BAADA YA BUS LA MOHAMMED TRANS WALILOKUA WAKISAFIRIA KUGONGA NG'OMBE

Ni bus la Mohammed trans linalosafiri kati ya mwanza na bukoba likiwa limepata ajali mbaya baada ya kugonga na kuuwa ng'ombe  10. tukio hili limetokea juzi usiku wa saa 2 barabara ya Chato. Abiria wote katika ajali hii wamenusurika
Ajali ilikua mbaya kiasi cha bus kualibika na kushindwa kuendelea na safari ya bukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau