Bukobawadau

MWANZA MWANZA NA CAMERA YETUNi majira ya saa moja na nusu asubuhi BLOGGER MC nawasili Jijini mwanza bila ya kuchoka nikiwa nimesafiri na shirika flani ya ndege linalofanya safari za kila siku mjini hapa.
 Mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Jijini Mwanza napata mapokezi kutoka kwa wadau mbalimbali.
Napata picha ya kumbukumbu na mpenzi  na shabiki wa libeneke la bukobawadau blog, pichani  kulia ni  mdau Sleim Salum na baada ya hapo napata fulsa kuongea naye ananipa ushauri mwingi na kutia moyo katika shughuli hii ya kujitoa zaidi
 Ikiwa ni asubuhi na kabla ya kuingia katika mikakati yangu ya hapa na pale,inaniladhimu kutafuta wapi nitapata kifungua kinywa
Mdau nikipata breakfast ndani ya  Golden Crest Hotel.
 Kwa haraka haraka nacheck mandhali ndani ya hotel hii , hakika ipo vizuri sana!!
 Camera yetu ikiangaza viunga mbalimbali ndani ya Jijini la Mwanza.
Shughuli za kila siku ndio zinaanza asubuhi hii
Pilikapilika za wauzaji bidhaa mbali mbali katika Mtaa maarufu wa Makoroboi Jijini Mwanza
Biashara za kila aina huuzwa katika mtaa huu wa Makoroboi na hapa Camera yetu inaangaza ndani ya duka la Misifa tawi la Mwanza.
Wanyampala pichani ni kijana Kelvin Odella kushoto na Kijana Bigirwa Big John.
 Makutano kati ya barabara ya  Station na barabara ya Nyerere.
Heka heka za hapa na zikiendelea.
Napata fulsa ya kukutana na MUUNGWANA Waziri Kabago.
 Malaika Beach Hotel Mwanza.
Napata nafasi ya kufika Malaika Beach hotel

 MDAU MSOMAJI TUNAKUOMBA SANA UTUPE USHIRIKIANO KWA KUTUSUPORT JAPO KWA KUWA FOLLOWERS, JIUNGE NASI KUPITIA SEHEMU HUSIKA KWA KUTUMIA EMAIL YAKO NA TUFANYE KUAMASISHANA ILI TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU!!!
MUONEKANO WA MANDHALI YA MALAIKA HOTEL JIJINI MWANZA ,KIKUBWA MDAU WAWEZA KUTUPIA LIKE TU KWENYE FACEBOOK PAGE YETU UBAVUNI KUSHOTO MWA BLOG YETU  ILI TUWEZE KUWA SAMBAMBA NA WEWE NA HUO NDIO MTAJI WETU KWANI TUNASHINDWA KUPATA UFANISI KWA SABABU IDADI YA WANAOTUSUPORT NI NDOGO SANA HILI NI TATIZO LA KUCHUKULIA KILA KITU KAWAIDA !!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau