Bukobawadau

AFYA YA MDAU 45 THE DON YAZIDI KUIMARIKA BAADA YA AJALI YA GARI ALIYOIPATA MIEZI KADHAA ILIYOPITA

Mdau 45 pichani aliyepata ajali mbaya ya gari miezi kadhaa iliopita sasa anaendelea vizuri na aona uwezo wa kusimama na kutembea tofauti na ilivyokuwa hapo awali
Mdau 45 katikati katika picha ya pamoja na marafiki zake wa kweli.
Hii ndio baiskeri  aliyokuawa akitumia Mdau 45 baada ya ajali aliyoipata na kuvunjika miguu, kabla  haijaimarika.!!
 Pea kadhaa za viatu  vya Mdau 45 .
 Kila nguo inaonyesha inakiatu cha kuvalia, haya ndio maisha ya mdau 45.
 Upande wa magari nikama ifuatavyo
 Magari kadhaa yakiwa yameegeshwa nyumbani kwake
Hapa ni masikani kwa Mdau 45, Bukobawadau blog tunamwombea afya njema zaidi
Next Post Previous Post
Bukobawadau