Bukobawadau

KIFO CHA SHEIKH HAMZA ADAM sheikh mkuu wa kamachumu na Imam wa msikiti wa ALWATANI afariki dunia.Chanzo kimenyetisha kuwa jana aliongoza swalat ya Ishah mpaka saa 3 na badae akiwa nyumbani kwake majira ya saa 6 usiku akazidiwa na saa 8 mauti yakamkuta. (BUKOBAWADAU BLOG tunatoa pole kwa ndg ,jamaa na jamii yote ya kamachumu)

Next Post Previous Post
Bukobawadau