Bukobawadau

SHUGHULI YA IBADA NA MAZISHI YA MAREHEMU MZEE EVARISTUS KICHEMU YALIOFANYIKA KATIKA MAKABURI YA BUNENA HII LEO


Ibada ikiendelea
Ndg wa familia katika Ibada ya kumuaga marehemu Evaristus Kichemu
 Wakati ibada ikiendelea kanisani, wadau wengine wakisubiria kwa nje kushiriki mazishi

 Taswira ilivyo kwa nje ya kanisa
Wadau wakisubiria nje ya kanisa kushiriki kikamilifu shughuli ya mazishi
Wadau kadhaa wakiendelea kusubiria Ibada kwa nje
 Nje ya kanisa wadau wakiendelea kusubiria
 Mwili wa marehemu ukitolewa kanisani
 Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 Mwili wa marehemu ukitolewa nje ya kanisa.
 Picha pekee zinaonyesha namna watu walivyogushwa na msiba huu,ikumbukwe mzee Mzee Kichemu alijishughulisha sana na mafunzi ya ndoa kanisani

Msafara wa mapambio na nyimbo za dini kuelekea makaburini

 Mamia kwa mamia kwenye mazishi ya marehemu Evaristus Kichemu


Mwili wa marehemu ukiingizwa kenye makazi yake ya milele
Sisi sote tulitoka kwenye udongo na tutarejea kwenye udongo.
Mapadre wakiongoza mazishi.
Ndg wa marehemu
 Wajukuu wa Marehemu wakisogea kaburini kwa ajili ya kuweka mashada ya maua
 Kulia ni mtoto wa marehemu ndg Godin Kichemu katika simanzi
Picha ya marehemu  Evaristus Kichemu
 Wanafamilia wakiweka mishumaa
NI SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU EVARISTUS KICHEMU BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDG ,JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA KUFUATIA KIFO HIKI

MDAU MSOMAJI TUNAKUOMBA SANA UTUPE USHIRIKIANO KWA KUTUSUPORT JAPO KWA KUWA FOLLOWERS, JIUNGE NASI KUPITIA SEHEMU HUSIKA KWA KUTUMIA EMAIL YAKO NA TUFANYE KUAMASISHANA ILI TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau