Bukobawadau

BUKOBA YETU HII LEO 15/10/2012 HALI YA HEWA NA MUONEKANO WA MITAA MBALIMBALI

Hali ya hewa asubuhi ya leo meneo Manispaa ya mji Bukoba, wingu kubwa likiwa limetanda na kufuatia na mvua kwa takribani masaa mawili pasipo kusita.
Moja kati ya kivutio katika  mji wa Bukoba ni kisiwa hiki cha Musila kama kinavyoonekana katika picha kutokea  eneo la Mlima Kashura
.Wingu kubwa likiwa limetanda.
 Watu wakielekea katika shughuli zao za kila siku.
Barabara ya Arusha nje ya soko kuu Mjini hapa.
 Maeneo ya mgahawa maarufu wa Dollars
 Muonekana wa shughuli za wadau nje ya soko kuu .
  Pita pita za hapa na pale, barabara ya Kashozi kwa asubuhi ya leo.
Eneo la mzunguko(Round about) kati ya makutano ya barabara za Jamhuri, kashozi na tupendane.
Kasarani
Eneo la kasarani kuelekea Buyekera.
Barabara ya Arusha
 Mvua ikiendelea kunyesha.
 Barabara ya Jamhuri maeneo ya NMB.
 Duka maarufu la marehemu Mzee Mitto
 Muonekano wa posta ya zamani.




Next Post Previous Post
Bukobawadau