UZINDUZI WA WINDHOEK PANDE ZA BUKOBA CLUB YAFUNIKA ILE MBAYAA!!
Wadau pichani wakiwa na nyuso za furaha uku wakiendelea kupata chaguo lililo sahii la Windhoek Beer, ni katika uzinduzi unaendelea endelea mjini hapa chini ya kampuni ya MABIBO BEER.
Muendelezo wa furaha pasipo kikomo pale unapokunywa Windhoek.
Wadau wakifuatilia burudani katika uzinduzi wa Windhoek Beer, katika ni Mama Bendita Rugemalira ambae ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya MABIBO BEER wauzaji wa Bia aina ya Windhoek.
Meza ya Wazee wetu wanafamilia anaonekana Mlangira Raphael na Mlangira Emmanuel ambae ndiye mkurugenzi wa ukumbi wa Bukoba Club (kulia)
Pozi la Mkaka na Windhoek Mkononi.
Taswira ya viwanja vya Bukoba Club katika uzinduzi wa Windhoek.
Wadau wakiburudika kwa nafsi na macho.
Watu kwa raha zao wakiendelea kufurahia Windhoek Beer.
Tunaposema furaha ni kweli tunamaanisha..
Hapa makirikiri wenyewe wanabaki!!
Kutokana na ukali wa show unaoendelea ukumbini hapa inamlazimu Ndg Timothy kuchukua kumbukumbu kupitia simu yake ya kiganjani,pembeni anaonekana mwananzengo ajulikanae kwa jina la Kidevu cha kuku.
Mnenguaji wa kikundi cha Mabibo Beer akiwajibika jukwaani.
Wanenguaji wakitoa show ya aina yake.
Hii ni hali ya mabadiriko kwa hivi sasa katika fani ya unenguaji,...hakika shughuli ni pevu!!
Huu ni mwanzo tu wa burudani,na shuguli bado inaendelea.
Wanasema raha jipe mwenyewe,hii ni burudani ya ngoma ikipambwa na Sauti nzuri na yenye mvuto ya Saida Karoli, msanii wa hapa nyumbani ambapo kama kungekuwa na hati miliki leo hii tungekua tunazungumza mengine.!!
Mama Mkurugenzi ashindwa kujizuia ni pale unapoendelea Wimbo wa Saida Kalori.
Ikafika zamu ya mshereheshaji wa shughuli hii Ndg Mganga Wandele kutoa burudani.
Flash ya Camera yetu ikiwaangazia wadau.
Ucheshi!ndilo tukio linaloendelea pichani," mwanafunzi anadai awapo shuleni upendelea somo la mapumziko".
Muendelezo wa furaha pasipo kikomo pale unapokunywa Windhoek.
Wadau wakifuatilia burudani katika uzinduzi wa Windhoek Beer, katika ni Mama Bendita Rugemalira ambae ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya MABIBO BEER wauzaji wa Bia aina ya Windhoek.
Meza ya Wazee wetu wanafamilia anaonekana Mlangira Raphael na Mlangira Emmanuel ambae ndiye mkurugenzi wa ukumbi wa Bukoba Club (kulia)
Pozi la Mkaka na Windhoek Mkononi.
Taswira ya viwanja vya Bukoba Club katika uzinduzi wa Windhoek.
Wadau wakiburudika kwa nafsi na macho.
Watu kwa raha zao wakiendelea kufurahia Windhoek Beer.
Tunaposema furaha ni kweli tunamaanisha..
Hapa makirikiri wenyewe wanabaki!!
Mnenguaji wa kikundi cha Mabibo Beer akiwajibika jukwaani.
Wanenguaji wakitoa show ya aina yake.
Hii ni hali ya mabadiriko kwa hivi sasa katika fani ya unenguaji,...hakika shughuli ni pevu!!
Huu ni mwanzo tu wa burudani,na shuguli bado inaendelea.
Wanasema raha jipe mwenyewe,hii ni burudani ya ngoma ikipambwa na Sauti nzuri na yenye mvuto ya Saida Karoli, msanii wa hapa nyumbani ambapo kama kungekuwa na hati miliki leo hii tungekua tunazungumza mengine.!!
Mama Mkurugenzi ashindwa kujizuia ni pale unapoendelea Wimbo wa Saida Kalori.
Ikafika zamu ya mshereheshaji wa shughuli hii Ndg Mganga Wandele kutoa burudani.
Flash ya Camera yetu ikiwaangazia wadau.
Ucheshi!ndilo tukio linaloendelea pichani," mwanafunzi anadai awapo shuleni upendelea somo la mapumziko".
Mwisho tunakushkuru sana wewe Mdau msomaji kwa kuendelea kupitia kurasa katika blog yetu!!