Bukobawadau

CHONDE CHONDE WAHUSIKA MANISPAA BUKOBA

Hali ni tete, harufu mbaya inatoka huku pembeni kuna maduka na hoteli zinazotoa huduma ya chakula ni ghuba la uchafu la soko kuu Mjini Bukoba.
 Moja kwa moja nakutana na wahusika wa kitengo hiki wakiwa wamekaa pembeni kama vile haliwahusu  kutoka kushoto ni Mzee Zacharia Binamungu mfanyakazi wa Manispaa na Ndg  Fadhil Bantulaki.
 Chanzo kimebaini Gari la kusomba taka linaendelea na shughuli nyingine maeneo ya mkoani kwa hivi sasa.
 Uchafu umejaa hadi barabarani na ndio kwanza wanaendelea kumwaga kutoka maeneo mengine kama unavyojionea  pichani
 Wapita njia wao yote heli , Vipi kuhusu wafanyabiashara jirani na eneo hili?
Camera yetu ikiangaza kiundani  ili kujua mchanganyiko wa harufu unatokana na nini hasa
Next Post Previous Post
Bukobawadau