Bukobawadau

HATARI LAKINI SALAMA NI BAADA YA ROLI KUSHINDWA KUPANDA MLIMA NYANGOYE

Asubuhi ya leo Gari aina ya Semi-trela likiwa limeshindwa kupanda Mlima wa Nyangoye na kurudi nyuma kama inavyo onekana katika picha.
 Gari nambari T358 BFG likiwa limepakia mzigo wa mahindi na kushindwa kupandisha Mlima wa Nyangoye uliopo ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Kipande cha semi-trela kikiwa kimezuia barabara baada ya kupinduka.
 Magari mengine yakipenyeza pembezoni,wanaonekana  askari wa barabarani wakitoa ushirikiano mkubwa.
 Heka heka za hapa na pale kama inavyo onyesha pikipiki ndio usafiri mkubwa wa wadau 
 Ilikua hatari na salama, pichani Semi kiwa imeangalia ilipotoka.
 Ni ajali iliyotokea asubuhi ya LEO eneo la kihistoria la Nyangoye ndani ya kata ya Hamugembe na hakuna madhala zaidi yaliyojitokeza
Next Post Previous Post
Bukobawadau