Bukobawadau

MISA YA SHUKRANI NA KUMUOMBEA MAREHEMU MA AULERIA KOBURUNGO MUGANDA YAFANYIKA KATIKA KANISA LA BUNENA NA KUONGOZWA NA BABA ASKOFU METHOD KILAINI

Ni habari matukio ya Misa iliyoandaliwa na Familia ya Bwana na Bibi James Buchard Rugemalira ya kumuombea marehemu mama yao Ma Auleria Koburungo Muganda kwenye kumbukumbu ya kutimiza miaka mitano tangu kufari.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe  mualikwa akipata mapokezi kutoka kwa Mzee James Rugakingira.
 Askofu  Samson Mushema na viongozi wengine wa DINI wameshiriki Misa hii.
 Mpiga Kinanda wa Kanisa la Bunena
 Wanakwaya wa Kanisa la Bunena
 Ibada inaendelea
Waumini wakiendelea na maombi katika misa ya shukrani iliyo ongozwa na Mwashamu Baba Askofu Kilaini
Baba askofu kilaini akiongoza Ibada ya Misa takatifu
Wadau wakiendelea na Ibada takatifu.
 Mh. Mkuu wa Mkoa akitoa sadaka
Sadaka kutoka kwa waumini

Next Post Previous Post
Bukobawadau