NDOA YA MSANII AUNT EZEKIEL YAFANYIKA USIKU HUU NCHINI DUBAI
Pichani ni msanii nyota wa Bongo movie Aunt Ezekiel akisaini cheti cha ndoa yake iliyofanyika Usiku huu nchini Dubai
Aunt Ezekiel amekua katika mahusiano ya uchumba na Bw Sunday Demonte na walikubaliana watafunga ndoa baada ya kubadili Dini na kuwa Muislam.
Tukio hili limefanyika kwa kufuata misingi ya dini ya Kiislam na hii ndio stori fupi iliyotufikia na picha ,pia tutaendelea kukujuza habari na matukio zaidi kadri tutakavyo yapata.