Bukobawadau

WAZO LA LEO;Ni kweli kabisa, kuna kukumbuka na kuenzi. Na kwa usahihi kabisa, wanahabari wanachotakiwa kuandika ni kwamba tunamkumbuka hayati baba wa Taifa na wala sio kumuenzi. Kwa maana mtu huenziwa kwa wanaomuenzi kufuata, kutenda na kuishi katika kile alichokuwa akikihubiri mwenye kuenziwa.

Next Post Previous Post
Bukobawadau