Bukobawadau

BREAKING NEWZZZ MSANII SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

HABARI zilizopatikana hivi punde juu ya ndugu yetu,Mtanzania mwenzetu mwigizaji na mwanamuziki maaraufu Sharo Milionea amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa hizo  msanii huyo amefariki kwa ajali ya gari alilokua akiendesha mwenyewe majira ya saa 2 usiku ,Maeneo ya Mjini  Muheza mkoani Tanga.
Marehemu Hassan Mkiety 'sharo Milionea kifo chake ni pigo katika  fani ya maigizo na uchekeshaji 


Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi ...AMEN
Next Post Previous Post
Bukobawadau