Bukobawadau

HONGERA MDAU ZAKIA KASSIM NA WENZAKO KWA KULA NONDOZZ KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

Jengo la utawala la chuo kikuu cha dodoma(UDOM)
Mdau mkubwa wa www.bukobawadau.blogspot.com Zakia Kassim pichani akicheck na Camera yatu  baada ya kula NONDOZZ yake ya Political Science And Public Administration katika Chuo kikuu cha Dodoma.
Mdau Zakia Kassim akiwa na Dada yake Bi Mainda Kassim( kushoto)katika mahafali ya Tatu ya Chuo kikuu cha Dodoma.
Pichani Bi Zakia Kassim akishow love na rafiki yake.
Katika picha ya Pamoja na Aunt Aunt Anna (kushoto)
Kushoto ni Mdau Julieth, Bi Zakia na Mdau Mainda  Kassim katika picha ya kumbukumbu
Bi Esnath Joseph  na Bi Zakia Kassim.
 Baadhi ya wahitimu wakiwa katika harakati mbalimbali.
 Pitapita za hapa na pale katika mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyofanyika Siku ya Alhamisi Tarehe 22.11.2012.
 Ni  taswira katika mahafali ya Tatu Chuo kikuu cha  Dodoma.
Mdau Zakia Kassim baada ya kulamba NONDOZZ yake ya Political Science And Public Administration katika Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)


Next Post Previous Post
Bukobawadau