Bukobawadau

EXTRA BONGO WALIVYOKISANUA TENA MJINI GEITA 8-11-2012 CHINI YA UDHAMINI WA WINDROEK NA CLIMAX LEO

Ni uzinduzi wa Windhoek Beer unaoendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini na kupambwa na Band ya Extra Bongo chini ya  Kiongozi wake Ally Choki.
 Mc Jobisso wa Mabibo Beer,Witnes&Spirits Ltd akielezea ubora wa kinywaji cha Climax Herbal Power  Drink kinywaji kisicho na kilevi kilichoengenezwa na virutubisho kutokana na  mimea asilia


Muimbaji pekee wa kike katika band hii Khadj Kimobitel
Ally Choki
 Banza mzee wa mtaji wa masikini,Nikifa mimi Banza, Elimu ya mjinga na nyinginezo zaidi alitamba na kibwagizo chake cha 'msimamishe aone'
 Mr Kamala mshauri wa Mabibo Beer akimtunza Banza Stone, kulia ni Meneja wa Diseri Park iliyopo mjini Geita.



Muonekano wa Stock ya Windhoek Beer.
Mmoja kati ya wadau wa Windhoek Beer.

 Seba Ngosha mpiga Dram mahiri wa Extra Bongo akiwa kajipanga kikazi
Muimbaji wa Extra Bongo maharufu kwa jina la Redock muuza sura
 Ally Choki akiwajibika!
 Wanadada wa Windhoek BIi Unicy na Bi Vick wote kutoka jijini Dar es Salaam wakiwa tayari kikazi

 Bi Hawa katika pozy la Windhoek.
 Shabiki wa Extra Bongo
 Mr& Mrs Sam mzee wa Geita ni mdau ambaye shughuli zake zilikiwa zikiendelea Mjini Bukoba.


 Kunua 4 na kupata 2 free ndiyo habari ya Mjini hivi sasa imetolewa na Uongozi wa Mabibo Beer, Wines&Spirits LTD wa jijini Dar es Salaam
 Ally Choki katika Utambulisho na Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer Ndg Kamala
 Wanenguaji wa Extra Bongo , mpaka sasa ni Tanzania One katika tasnia hii ya kukana mauno.
 Wadau wa Windhoek wakisebeneka na Extra Bongo wazee wa Kizibo.

 Show kali ya Nyamwela ikiendelea kuwaburudisha mashabiki Mjini Geita
 Mambo ya Super Nyamwela
Next Post Previous Post
Bukobawadau