Bukobawadau

TIMU NZIMA YA EXTRA BONGO KUVAMIA MJI WA GEITA KWA MARA YA TENA CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK-SHOW ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA AMBASSADOR PUB LEO 8/11/2012

 Bango la ukumbi wa Ambassador utakapo fanyika ukuzinduzi wa Windhoek Beer na Climax kinywaji kisicho na kilevi, kilichotengenezwa na virutubisho kutokana na mimea asilia chenye ladha nzuri na kiongeza nguvu.
Muonekano wa Kiwanja cha Ambassador  Pob kilichopo Mjini Geita barabara ya General Tyre maarufu kama (barabara ya mgodini)
Ni kiwanja chenye mvuto kilichotengenezwa kiasilia.
Parking ya magari yakutosha 
Eneo la Club ndani ya Ambassador Pub.
Mkurugenzi  wa Ambassador Pub Ndg Shirima (kushoto) na Mdau wa Windhoek Ndg Daudi Kibogoyo
Next Post Previous Post
Bukobawadau