VIGEZO VYA KUJIUNGA NA KUSHINDA UNIQUE MODEL VYATANGAZWA
Shindano la kumsaka
mwanamitindo kumsaka mwanamitindo bora wa kike wa mwaka
mwenye kipaji cha kipekee katika sanaa ya mitindo nchini Tanzania limechukua sura
mpya baada ya kutangazwa kwa vigezo vya kujiunga na ushindi wa shindano hilo.
Akiongea chombo hiki mkurugenzi wa shindano la unique
model Bw.Methudelah Magese amevitaja vigezo hadharani ili wananchi waelewe ni
mwanamitindo wa namna gani anaetafutwa ili kuleta maana halisi ya jina la
shindano hilo.
Vigezo vya kujiunga na ushiriki washindano hilo :-
Pia
vigezo vya mshiriki kuwa mshindi lazima akidhi vigezo vifuatavyo na Jumla
ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
·
sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
·
Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
·
Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
·
Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama
10)
·
Nidhamu. (Alama 10)
Jumla ya alama ni 100
na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
·
sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
·
Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
·
Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
·
Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama
10)
·
Nidhamu. (Alama 10)
Jumla ya majaji watatu
watakaokaoteuliwa watapewa semina
elekezi na mratibu wa basata namna ya
utoaji alama kwa usahihi na kuzingatia haki ya kila mshiriki kwakua shindano
hili lita kuwa wazi katika kuhakiki haki inatendeka sawa na ubora wa mwanamitindo alivyo , alisema
magese.
Hii ni hatua ya
kipekee kwa waandaji wa mashindano kuwa wazi namna ya utoaji alama na kumpata
mshindi kwakua itatoa mawazo tata na dhana potofu ndani ya vichwa vya wadau
wa tasnia ya mitindo.
Wito umetolewa kwa
makampuni kujitokeza kudhamini shindano hili ambalo litaleta mapinduzi makubwa
katika tasnia ya mitindo nchini Tanzania ikiwemo kutoa ajira kwa mabinti zetu
amabao wanachipukia katika fani hii,pia wabunifu wakubwa kwa wadogo wameombwa
kutumia fulsa hii kujitangaza kwa kuwavalisha wanamitindo hao siku ya fainali
ambapo inatizamiwa wabunifu wengi kujitokeza.
Pia wanamitindo wote
wenye sifa na ndoto zakuwa wanamitindo maarufu kwa kukuza kipaji wameombwa
kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 18/11/2012 saa nne asubuhi katika usaili
pale Lamada apartments & hotel
iiyomo maeneo ya msimbazi center jijini dar.
Taji la unique model
linashikiliwa na mwanamitindo Asia Dachi ambapo alikabidhi kwa mshindi wa mwaka
huu unique model of ayear 2012 mwishoni wa mwezi desemba.
Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la
Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,
Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,T-moto Entertainment,wajanja club blog na Unique entertainment blog.
Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,T-moto Entertainment,wajanja club blog na Unique entertainment blog.