SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MA .ESTERIA K.IFUNYA MAZISHI YAMEFANYIKA BUKOBA BUNENA
Safari ya kuelekea kanisani kwa ajili ya ibada maalum ya kumuombea marehemu ilianzia nyumbani kwa marehemu maeneo ya National House
Wadau mbalimbali walioudhuria misa ya mazishi
Kutoka kulia ni Bw.Andrew Mutawala akifatiwa na Bi.Ana Grace Jeremiah watoto wa marehemu katika nyuso za majonzi
Aliyeshika picha ni mjukuu wa marehemu Bi. kanuza
Safari ya kuupeleka mwili wa marehemu makaburini
Sehemu ya wadau walio hudhulia masishi
Bi.Ana Grace Jeremiah katika majonzi ya kumpoteza mama yake mpendwa
Ibada ikiendelea makaburini
Mjukuu wa marehemu Mr.kajuna katika uso wa majonzi
Mama kajuna
Bw.Andrew Mutawala katika majonzi makubwa ya kumpoteza mama yake mpendwa
Kutoka kushoto ni Bi.Ashura ashirafu akiwa na Bi juliana Optat nao walikuwepo kutoa support kwa wafiwa
Wajukuu wa marehemu katika majonzi makubwa
Mwisho ni wanafamilia katika picha ya pamoja.