Bukobawadau

GSMART BOUTIQUE KWA NGUO ZA KIUME, WATOTO NA KINA MAMA

Duka la kisasa la GSMART BOUTIQUE linapatikana Mjini Bukoba barabara ya Arusha mkabala kabisa na nyumba ya Mzee Baisi.
Ndani ya duka jipya  la GSMART Boutique wanatoa punguzo maalum kwa vituvyote kuanzia sasa mpaka siku ya Valentane day ile siku ya wapendanao.




Fika ndani ya GSMART boutique waliopo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba ujipatie nguo za kisasa za kila aina na za kila rika, Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual kwa siku za kawaida






Shop manager ndani ya Gsmart Boutique Mdau Maick George akiperuzi ofisi kwake.












GSMART BOUTIQUE NDIO CHAGUO SAHIHI UNAWEZA KUWASILIANA NAO KUPITIA 0713 291670 AU 0652693944
Next Post Previous Post
Bukobawadau