Bukobawadau

NDEGE YAKWAMA KATIKATI YA UWANJA MJINI BUKOBA YAVUTWA NA GREDA ILI NYINGINE IPATE KUTUA

Ni ndege ya  kampuni ya ndege ya Precision Air ikisafiri kutoka Mjini bukoba kuelekea Jijini Mwanza ikiwa imeegesha pembeni kabisa mwisho wa uwanja baada ya kushindwa kuruka kufuatia hali ya mvua iliyo nyesha na kupelekea ndege hiyo kutitia wakati wa kuruka.
 Ndege hii ilikua na Abiria 23 wote ikiwa tayari wametelemka ni katika kukamilisha route yake ya pili ikitokea bukoba majira ya saa 11;30 ilitegemea kufika mwanza baada ya dakika 40 yaani saa 12;10 Jioni.
 Mashuhuda wa tukio hili 
 Muonekano wa uwanja wa ndege mjini bukoba, Ujenzi ukiendelea
Next Post Previous Post
Bukobawadau