BREAKING NEWS:PADRI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUKO ZANZIBAR!!!
Padre E.Mushi Parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika asubuhi ya Leo.
Ameuawa wakati akijiandaa kuingia kanisani akitokea kwenye gari lake ambapo ghafla ikatokea gari ndogo na waliokuwamo ndani ya gari ile wakamrushia risasi.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo vitisho vya wazi wazi dhidi ya wakristu huko Zanzibar ambapo inaelezwa kuwa jeshi la polisi halijafanya juhudi zozote kuzuia tishio hilo.

Taarifa hizi zimeripotiwa direct toka Zanzibar. |