KUMBUKUMBU 1997-KIKOSI CHA RTC KAGERA CHAIZUIA SIMBA KUTWAA KOMBE,FITNA YASHINDIKANA NGUMI ZACHAPWA KAVU KAVU KITAANI
Nikumbukumbu ya libeneke la Bukobawadau, mwaka 1997 ligi kuu tanzania bara ikiwa ukingoni kabisa ambapo mchezo wa mwisho ulifanyika uwanja wa kaitaba kati ya Simba Fc v RTC Kagera maarufu kama wagadi, Simba ilihitaji ushindi ili ibebe kombe,lakini mambo yalienda ndivyo sivyo wakapokea kichapo cha mabao 3-1, kutoka kwa kikosi mahiri cha RTC tunaanza na wachezaji waliokuwa benchi chini na kocha Mzee Sonday Kayuni mambo yalikua hivi;.
/sub Bure Mtagwa, Issa Ally, Zahoro Sabuu( check bob),marehemu Mukama Ntale,Patric Oswin,Mustapha Simba,Albert Sengo, mtu wa skendo Salmin Kamau na Endrew Kabaya.
Ushindi ulipatikana kupitia mikakati na mbinu pamoja na ushirikiano kati ya RPC kipindi hicho Marehemu Jumbe na RC alikuwepo Mzee Mangula.
Fuatilia kikosikamili hapa chini.

- ONESMO EDWARD
- ABDUL KITUMBA
- JOHN FAYA
- ABUU OMARY
- GODWINI KICHEMU
- OMARY SAID
- MOVISHA HAULENA
- KASIGA MACHAPATI
- CLEMENT KAHABUKA
- FULGENCE NOVATUS
- MUSSA MASSARO