Miss Utalii Tanzania 2012013 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii
Miss
Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea
Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es
salaam,Morogoro,Mtwara,Lindi na Pwani. Vivutio hivyo ni pamoja na
Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia maeneo ya
kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha makumbusho,Makumbusho ya
Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa kigamboni, soko la
kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa, J.K.Nyerere Air Port, Soko la
kariakoo, mashule ya sekondari na msingi, pia watatembelea manispaa za
ilala, temeke na kinondoni ambapo watakutana na viongozi wakuu wa
wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa hiyo.
Miss Utalii
Tanzania 2012013 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi
za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam,Mor ogoro,Mtwa ra,Lindi na Pwani.