TIBA YA KANSA (CANCER)
By John Haule – Rumours Africa!
Ndugu zangu,
Leo sina mengi sana ya kuongea. Nimekuja kuwataarifu kuwa
kama Mungu akipenda, basi ugonjwa tishio duniani wa kansa utakuwa umekwisha
fitina yake kama kisukari ilivyo leo.
Katika pitapita zangu kutafuta suluhisho la matatizo yetu
watanzania, niligundua kuwa wapo wenzetu wa jinsia zote, umri aina zote tena
katika hali tofauti za kimaisha wanaumwa ugonjwa huu hatari duniani.
Rumours Africa inayokuletea taarifa tamu za tiba na suluhu
za matatizo mbalimbali iliingia kazini na kugundua kuwa Ulaya wamegundua mmea
mmoja unaopatikana sana katika nchi za kitropiki kama hii
yetu uitwao
Graviola ndio
suluhisho la ugonjwa huu wa kansa. Hata hivyo, taasisi zilizofanya uchunguzi
huu makini wamegundua kuwa endapo watatangaza kuwa dawa hii inatibu kansa basi
mazingira ya soko lake yatawafanya wasikutane na pesa waliyotumia kwa miaka
mingi katika tafiti hii muhimu. Hivyo bado hawajatangaza mpaka hivi leo.
Huko ulaya, tayari watafiti binafsi wameanza kuitumia dawa
hii kutibia kansa na inatoa majibu sahihi mpaka nawaletea taarifa hii huku
wagunduzi wakikanusha kuwa bado haitibu!
Katika makala zangu za awali kama mtakumbuka niliwahi
kuuelezea aina za udongo unaoota mimea kama kiungo muhimu sana katika kuzalisha
dawa au kutozalisha dawa katika mmea. Hivyo sio kwa mujibu wa tafiti sio
graviola zote zinazotibu kansa. Graviola zinazoweza kutibu kansa ni zile
zilizoota kiasili porini na sio zilizooteshwa na binadamu katika udongo usio
sahihi.
Naandika makala hii kwa shauku kubwa ya kutaka kusikia jamii
yetu inatoa mchango wa kuniwezesha kukusanya graviola toka mikoani, kuzitafiti,
na kuanza kutoa matibabu ya majaribio ifikapo mwezi April. Gharama ni kubwa.
Kwa haraka haraka tu, zinahitajika Tsh. 12,800,000/= kukamilisha zoezi la
kukusanya aina tofauti za graviola, gharama za utafiti na uchunguzi, usafiri,
posho n.k katika harakati za kutafuta
suluhisho juu ya shetani Kansa!
Ninaamini Kansa inagusa maisha ya wenye pesa na wasio na
pesa pia. Tusaidiane, kama unaweza kutoa chochote basi nipigie simu nikujulishe
tunafanyaje. Lakini pia anaweza akajitolea mtu kutoa robo, nusu ya hiki kiwango
au akatoa kiasi chote kabisa. Hii nitashukuru pi asana maana itaokoa muda ambao
wengi watakufa wakisubiri… Toa mchango kwa namna ulivyoguswa na dhahama hii
kubwa.
Naamini tutaipata hii dawa, nap engine itagaiwa bure kama
nilivyogawa dawa zangu karibu zote!
Tusaidiane tuwaokoe Watanzania, na Asante sana kwa
kunisoma….
John Haule
0768 215 956
Waweza pia kuisoma siri ya dawa hii ya kansa kwa kubonyeza
tu hapa ili na wewe ujue kinachojiri katika mchakato mzima wa kupambana na
kansa: http://einron.hubpages.com/hub/godfoodgraviolacurescancer