MKUU WA MKOA MH.FABIAN MASSAWE AZINDUA MRADI WA SOKO MJINI KEMONDO
Jiwe la Msingi la Soko hili limewekwa na Mh. Kanali Mstaafu Fabian.I.Massawe ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika uzinduzi huu.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe akizindua mradi wa Soko jipya mjini Kemondo jana FEB, 6,2013.
Ukaguzi wa mradi huu ukiendelea
Kutoka kulia ni Mdau Jaffary Badru, Mzee Ishengoma Rwamigila, Mzee Shakiru Kayoza na Mdau mwenye vitabu ni Ndg Subra.
Wadau mbalimbali wakiwa tayari kumsikiliza Mkuu wa Mkoa.
Anaonekana Mzee Adnani kushoto na Mzee Zuberi kwa nyuma sehemu ya wadau maarufu Mjini Kemondo.
Mkuu wa Mkoa Mh. Fabian Massawe akiwahutubia wakazi wa Kemondo
Mh. Meya wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini Capt. Daudi Salum Kateme.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mjini Zippora Pangani,akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa Mh. Massawe na wa mwisho ni Mh. diwani kata ya Kemondo Al Haji Hatwibu Mussa.
Samaki waliotolewa Zawadi kwa Mkuu wa Mkoa Mh. Massawe.
Mfanyabiashara maarufu wa Samaki Mjini Kemondo, Mzee Hamdani Suleimani akikabidhi zawadi kwa Mkuuu wa Mkoa.