Bukobawadau

BREAKING NEWS: HALI NI MBAYA HUKO TUNDUMA....MABOMU KILA MAHALI NA WATU WAMEAMRIWA WASITOKE NJE

Masaa takribani matano mabomu ya machozi na risasi za moto zinasikika mataili yamechomwa barabarani maduka yote yamefungwa...
Ni mshikemshike kati ya vyombo vya dola na raia hadi sasa msikiti mmoja uliokuwa ukiendelea kujengwa umechomwa moto maeneo ya mwaka na kisimani
Hali ni mbaya zaidi kwani mabomu ya mochozi yanapigwa hadi vyumbani.
Imetollewa amri watu wote walale majumbani kwao
Chanzo cha tatizo ni waislamu na wakristo.Wametofautiana juu ya suala na kuchinja..
Tutawaletea habari zaidi kuwa nasi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau