CAMERA YETU IKIANGAZA PANDE ZA IJUMBI RUBYA HII LEO
NYAKAINA ni moja ya Pub inayofanya vizuri kwa huduma mbalimbali katika eneo hili, lililo chini ya Uongozi wa Hospital ya Rubya.
Sehemu ya wadau wakicheck na Camera yetu
Neno NYAKAINA linatokana na neno la kihaya 'AKAINA' au 'KAINA' ikiwa na maana ya Shimo au bonde na kupelekea sehemu hii iliyojengwa kwa ndani kidogo kufuatia uchimbwaji wa msingi wake kuwa bondeni, na kufanya mtelemko flani wakati unaingia, na kupelekea na wadau wahusika kupaita jina 'NYAKAINA'
Mdau pichani anayejishughulisha na kazi ya kukata miti na kuchanja kuni
Karibu Ijumbi Center
Ni katika pitapita za Mwanalibeneke na Camera yetu, ni katika kukumbushana wengi tunapotokea asa wadau wa Rubya na vijiji vya jirani.