Bukobawadau

LIVE KUTOKA MIEMBENI BUKOBA TZ.

Safari za ndege zikiendelea kama kawaida,mapema ya leo.
Muonekano wa kipande ambacho hakijakamilika ,matengenezo ya Uwanja bado yanaendelea
Kwa mbali yanaonekana maeneo ya Matopeni, Kashai, Nyamkazi na milima ya kahororo.
Ni taswura ya matengenezo ya uwanja wa ndege wa Mjini hapa ambao unapanuliwa pamoja na kuwekwa lami baada ya kuwa wa vumbi kwa muda mrefu.
Matengenezo hayo yanaenda sambamba na ujenzi wa jengo la wasafiri, eneo la kuongozea ndege na kituo cha mafuta. Baada ya matengenezo, uwanja huo utaruhusu ndege kubwa kuweza kutua.
Next Post Previous Post
Bukobawadau