Bukobawadau

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba Mahakama ya mkoa jijini Arusha imemuachia kwa dhamana, Mbunge wa Arusha mjini (Chadema)Godbless Lema . Lema amefikishwa leo asubuhi Mahakamani hapo baada ya kudaiwa kuhusika katika kuchochea vurugu katika chuo cha Uhasibu baada ya mwanafunzo mmoja kuuawa. Kufuatia hali hiyo wafuasi wa Chadema na wapenzi wa mbunge huyo wapo kufanya maandamano jijini Arusha wakifurahia kuachiwa huru kwa mbunge wao, Kwa Habari zaidi ungana nasi baadaye

Next Post Previous Post
Bukobawadau