Bukobawadau

Marekani yatangaza zawadi ya Dola Milioni 5 kwa atayakayefanikisha kukamatwa kwa Kiongozi wa LRA Joseph Kony

Serikali ya Marekani imetangaza zawadi ya dola milioni tano kwa yoyote ambaye atafanikisha kukamatwa kwa Kiongozi wa Kundi la Waasi la Lord's Resistance Army LRA Joseph Kony anayesakwa kwa udi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau