Bukobawadau

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA FILAMU MPYA YA 'THE BLACK UMBRELLA' CHINI YA TESO &SAM INTERTAINMENT

Kikubwa kutoka kwa Blogger wa mtandao wenu wenye swaga za kipekee katika tasnia hii ni kwamba tukitanguliza Numbani kwanza na Uzalendo mbele tunawaomba popote pale tushirikianeushirikiane pamoja kuwapa Support wasanii wa Nyumbani hakika wanaweza.
Mwongozaji wa filamu hiyo mwanzo mwisho Ndg  Masweta, na picha ya Juu ni Msanii Nina na Jackson
TESO$SAM INTERTAINMENT; kuingiza sokoni kazi mpya iliyopewa jina la 'THE BLACK UMBRELLA' filamu hii mpya imewashirikisha wasanii wakali wa Mjini Bukoba na Karagwe,Yupo Devi, Oda Man,Sima na Teso Boy  huu ni muendelezo wa picha katika utengenezaji wa filamu yenyewe.
Baadhi ya wasanii kutoka Wilayani Karagwe.

Msanii Tesoboy na msanii mwenzake Nina.
Upande wa production amesimama vyema Ndg Matungwa.
Wanaonekana baadhi ya wasanii wakiwajibika katika moja ya tukio la uharifu, ni filamu yenye mafunzo ndani yake. 
Mkali Devi na Msanii maarufu ajulikanae kama Tesoboy aka Bonge la bwana katika action.
 Msanii Devi na Sima Isaya.
Devi akiendeleza madave dave katika moja ya kipande alicho kicheza katika filamu hiyo
Next Post Previous Post
Bukobawadau